Morogoro Drive tour ,Tanzania #streetview #morogoro
#morogoro #travelvlog #travel #tanzania #streetview
MOROGORO MJI KASORO BAHARI
Morogoro ni mji mkubwa mmojawapo nchini Tanzania, uliopo takriban kilomita 200 upande wa magharibi wa Dar es Salaam, ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Morogoro.
VIVUTIO VINAVOPATIKANA MOROGORO
1. Msitu wa Kimboza-unapatikana Matombo katika Wilaya ya Morogoro vijijini.
(Game viewing)
-Chemichemi za asili,
-Pango la choka –Wahawi
(Eneo la kihistoria mahali wachawi walipokuwa wanachomewa)
-Dago la njiwa (mahali njiwa wanapooga kiangazi na masika)
-Pango la Tambiko
-Dimbwi lenye nyoka wa maajabu
-Eneo la kuzalishia vipepeo
-Garko (Gwanko wiliamsii)-aina ya mijusi ambayo haipatikani sehemu nyingine duniani.
-Mimea adimu, wanyamapori (Black Rhino) na wadudu
2. Hifadhi ya Mazingira Asilia ya Uluguru katika Wilaya ya Morogoro
-Vinyonga wenye pembe tatu ambao
Wanapatikana katika milima hii pekee: hawapatikani mahali pengine popote.
-Mimea adimu-135
-Ndege wa pekee anayeitwa Wami-mbizi.
-Ndege (Ulugruru Violet-backed sunbird
-Maporomoko (Hululu and Kibwe falls)
-Mapango
-Tegetero trails
-Uwanda wa Lukwangule
-Lupanga Peak trail
-Kimhandu Peak
-Morning site
-Bunduki Corridor na
- Bondwa peak
-Mimea ambayo ni adimu na pekee-Africam violet – Saintpaulia
3. Hifadhi ya Mazingira Asilia Kilombero
-Maporomoko yanayozalisha umeme-Mbingu
-Mbega wekundu
-Ndege wa aina mbalmbali
-Mimea ya aina mbalimbali
-Mandhari ya kupendeza (Scenery beauty)
4. Hifadhi ya Taifa Mikumi
-Mbuga yenye wanyama wengi (simba, chui, nyumbu, ngiri, pundamilia, tembo, swala, twiga, nyati, kuro n.k.)
-Ndege wa aina mbalimbali zaidi ya spishi 300.
-Uwanda wenye mandhari ya kupendeza.
5. Hifadhi ya Mazingira Asilia Mkingu katika Wilaya ya Mvomero
-Mapango ya milima ya Nguru Kusini (South Nguru), ambapo ndani ya mapango haya kuna Mercury (Hg). Pia ndani ya mapango haya kuna maji ambayo ukirusha kitu kinarudishwa kilikotoka.
-Maporomoko ya maji
-Mimea ya aina mbalimbali inayokadiriwa kufikia spishi 793
-Wanyama mbalimbali wanaokisiwa kufikia spishi 329 (Mamalia 34, ndege 214, reptilia 43, amphibian 38)
-Mandhari ya kupendeza (Scenery beauty)
-Safu ya Mlima Nguru moja kati ya safu za milima ya Tao la Mashariki yenye unyevunyevu mkubwa na bio-anuai nyingi
6. HifadhHifadhi ya Taifa Udzungwa
Kupanda mlima (Hiking)
-Aina 12 za wanyama aina ya primata kati yao 2 (Ngolapa wa Sanje na Mbega wekundu wa Iringa) na aina za Komba ni wa pekee hawapatikani pengine popote duniani.
-Vyanzo vya mito ambayo hupeleka maji Ruaha Mkuu na Kilombero na hatimaye Rufiji na pia hutumika kuzalisha umeme, kilimo na uvuvi.
-Magombera Chameleon na aina nyingine za mimea na vipepeo
-Aina nyingi za ndege.
7.Pori la Akiba la Selou
-Uwindaji wa Kitalii
-Upigaji wa picha (Photographic safari)
- Ni mbuga kubwa Africa na ina tembo zaidi ya 70,000
-Idadi kubwa ya wanyamapori na wale adimu kama mbwa mwitu na faru.
-Maporomoko ya Stigglers’ Gorge ambayo yanatarajiwa kuzalisha umeme. -Mandhari ya kupendeza.
8.Pango la Matombo Wilayani Morogoro
-Mapango yenye chuchu kama za binadamu
-Mapango ya kihistoria chanzo cha jina la Matombo
9.Kisaki-Ndalanda Wilayani Morogoro
-Chemichemi ya maji moto (Hot water springs) ambayo inaweza kutoa umeme
10.Msitu wa Hifadhi wa Mkulazi Wilayani Morogoro
-Makazi ya wanyama kutoka Selous wakati maskani yao yamejaa maji katika bonde la Ukutu.
11.Hifadhi ya Jumuiya ya wanyamapori Wami-Mbiki katika Wilaya ya Mvomero na Morogoro
-Uwindaji wa wenyeji na Kitalii
-Ni Hifadhi ambayo njia ya watumwa ilipitia.
-Kuna wanyama mbalimbali kama tembo, simba, swala, pundamilia nk.
-Ni kiungo cha shoroba ziendazo Hifadhi ya Mikumi, Saadani, Tarangire na Selous
12. Hifadhi ya Jumuiya ya wanyamapori Ukutu katika Wilaya ya Morogoro
Uwindaji wa wenyeji na Kitalii
Kuna wanyama mbalimbali kama Tembo, Chui, Nyati, Viboko, Twiga, Pundamilia, Simba, Swala, Pundamilia nk
13. Uhifadhi wa nyoka (Snake Park) eneo ka Mlama-Dakawa Wilayani Mvomero
-Kujifunza
-Kuna nyoka wa aina mbalimbali wenye sumu (Venom) na wasio na sumu
14. Milima ya Kanga Wilayani Mvomero
-Kupanda (hiking)
-Viumbe pekee (Unique species) kama aina ya miti ijulikanayo kama Mrs Ibaz trees.
15. Makutano ya mito miwili iitwayo Wami-Mbulumi.
--Idadi kubwa ya mamba
16. Kilombero Game Controlled Area
-Uwindaji wa Kitalii
-Utalii wa kuvua-Sport fishing
-Kuangalia ndege (Bird watching)
-Kupanda milima (Hiking),
-Utalii wa ndani (Eco-tourism)
-Baadhi ya wanyama ni kama vile sheshe (Kobus vardonii) ambao inakadiriwa kuwa 75% duniani wanapatikana hapa.
-Wanyama wakubwa ni pamoja na nyati, tembo, viboko, sable antelope, kongoni, pofu, mbega wekundu wa Sanje, ngiri, kuro, pundamilia, mamba na kenge
-Kuna vitalu vinne vya uwindaji wa Kitalii (Mnyera, Kilombero Kaskazini- Mlimba, Kilombero Kaskazini-Mngeta na Matundu
Dar es Salaam to Morogoro, Via New Superhighway in Tanzania and Beautiful Hotels with stunning views
Let us ride all the way to Morogoro town, Please subscribe
Visit Tanzania - Parakuyo Tours & Safaris.
We are African Safaris, Photography Tours, Mountain Climbs and Beach Holidays Operators in Tanzania
We Create Your Vacation in Tanzania!
Wildlife viewing in Tanzania is more spectacular than anywhere else in the world! the big five can be spotted – Lions, Leopards, Buffaloes, Rhinos and Elephants, also the Great Wildebeest Migration and other high profile animals – Zebras, Giraffes, Hippos and Cheetahs. Sweeping savannas, spectacular landscapes and fascinating cultures; a few to mention are the Maasai and Hadzabe.
Travel with us for a positive and uplifting safari to some of the world’s most celebrated and beautiful wild places: Serengeti, Ngorongoro Crater, Mount Kilimanjaro and the beautiful Tropical Beaches of Zanzibar.
Reach us here: travel@parakuyosafaris.com OR parakuyobookings@gmail.com
#parakuyosafaris #travel #mountkilimanjaro #hiking #adventuretravel #photography #tanzaniatravel #wildlifephotoghraphy #tanjakurzenknabephotograpy #serengeti #ngorongorocrater #zanzibar #africaadventure
Mt Kilimanjaro 2009 - Sinya Area, Tanzania - 1 of 2
OAT Safari
WATALII WAKIELEZEA SAFARI YAO YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KUPITIA NJIA YA MARANGU.
Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, au App yetu ya “TBC Live” inayopatikana
Play Store (Android):
App Store (iOS):
Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii;
Twitter:
Instagram:
Facebook:
ACHIMWENE SAFARI VIP BUSES #buses #bus #travellers