Malamba Waterfall : Mbeya Tanzania
Maporomoko ya maji Malamba Yanapatikana katika kijiji cha Malamba kata ya Suma Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya, Maporomoko haya yanapatikana umbali wa Kilomita kumi na tano (15) kutoka Katumba. Maporomoko ya Malamba ni moja ya maporomoko yenye Muonekano wa Kupendeza na kuvutia sana.